Canna VIP Foundation Charity Event. Tunaenda Kutembelea Wafungwa Gereza La Isanga Dodoma Tarehe 19 October 2024 Na Kuwapelekea Mahitaji mbalimbali Kama Sukari, Mchele, Mafuta Ya Kula, Mafuta ya Kupaka,Sabuni, Vinywaji, Unga, Na Vitu Vingine Vingi. Hii ni Kusherehekea Kutimiza Mwaka Mmoja wa Canna VIP Lounge.